Majizzo: Nimeumia sana Hayati Rais Magufuli alikubali kuja kuzindua jengo letu la Efm

Dah, taasisi ya urais ilidharauliwa sana. Yaani mkuu wa nchi aje kuzindua jengo la kituo cha redio binafsi? Hii kazi angalao ingefanywa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania
Nadhani Samia ataweka heshima
 
Dah, taasisi ya urais ilidharauliwa sana. Yaani mkuu wa nchi aje kuzindua jengo la kituo cha redio binafsi? Hii kazi angalao ingefanywa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania

Huyu alikuwa mtu mihimu sana kwenye kampeni za CCM ndio maana alikubaliwa sema wengi wenu hamjui
 
Kwa tuliko kuwa tunaelekea rais angeanza kuweka jiwe la msingi hadi kwenye vibanda vyetu huku Kerege.
 
Huyu Majizzo baba yake alikuwa mganga wa kienyeji.

Dogo mjanja mjanja kama father wake!
 
Kama alikubali kuja kufungua hilo jengo mwanzoni mwa march, sasa nini kilimzuia maana mpaka tarehe 12 march (karibu na nusu ya mwezi) tuliambiwa kuwa alikuwa ofisini anapiga kazi?
 
Muuza unga alie Honga Bashite aka chomolewa. Sasa ana haha Genge lake la Unga itakuweje.
 
Magezeti yanaandika kwa uhuru sana sasa hivi, sijui upande wa redio na tv kama na wao wamekuwa 'huru ki hivyo' kipindi hichi kifupi
 
Magezeti yanaandika kwa uhuru sana sasa hivi, sijui upande wa redio na tv kama na wao wamekuwa 'huru ki hivyo' kipindi hichi kifupi
😂 😂 😂 Wamepata uhuru wao
 
Muuza unga alie Honga Bashite aka chomolewa. Sasa ana haha Genge lake la Unga itakuweje.

Wivu bhana! Sasa mbona hadi leo hajakamatwa na taasisi husika? Si alihojiwa huyu? Kwanini hawakumchukulia hatua?
 
Kuna mambo ukifa automatically huwa ni hasara mfano ulinunua kiwanja au nyumba Ila hukumshirikisha mkeo ukataka umfanyie surprise..... chap kidog Wana wanapita na mzigo na mkeo hapati kitu
Mzigo gani wanapita nao mkuu?. Wakati mzigo tayari ulishanunulia kiwanja au nyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…