Majogoo ya Kuku Chotara

Majogoo ya Kuku Chotara

Will

New Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Tunauza majogoo ya kuku aina ya chotara. Majogoo wana umri wa miezi sita na wastani wa kilo 2 hadi 3.5. Yanafaa kwa kitoweo au kwa mbegu (kupandishia majike) kutokana na mahitaji ya mnunuzi. Bei ni Tshs 20,000/= kwa jogoo mmoja.

Zipo aina mbili :
1. Rhode Island Red
2. Kuchi

Tunapatikana Kiluvya - Gogoni. .

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba hii: 0655 038855.
Utaletewa hadi mlangoni
 
Me natafuta mayai ya kuku chotara, vp naweza pata hapo kwenu?
 
Back
Top Bottom