Majogoro: Yanga inaongelewa zaidi Africa kusini kuliko timu yeyote

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
South Africa Ukiongelea ukubwa wa Soka la Tanzania basi watasema @yangasc kwasababu walicheza na @sundownsfc , na ILe mechi ilikuwa na ushindani mkubwa kwahiyo wa south Africa walikuwa wanaiongelea sana yanga kuwa walinyimwa goli na wengine walisema Yanga walicheza vizuri Zaidi ya mamelodi" .

Mchezaji wa Chipa United @baraka_majogoro_15 akizungumza kwenye mahojiano na TV3.

#scopeboii #ScopeMedia
1719037250041.jpg
 
Mimi napingana wazi wazi na huyo Baraka Majogoro! Yaani Yanga inaongelewa zaidi kuliko timu ya Simba iliyotaka kuuchoma moto uwanja wao kipindi kile, kwa sababu tu ya imani za kishirikina?

Au hao Wasauzi wana ugonjwa wa kusahau!
 
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahaaaaaaaaaaaa...
 
Mimi ni shabiki wa Simba na siwez kuleta ushindani wa kijinga. Yanga wamekuwa na msimu mzuri sana na wameleta ushindani mkubwa sana Kwa mamelodi big up sana watani , mtoa mada Yuko sahihi
 
Mimi napingana wazi wazi na huyo Baraka Majogoro! Yaani Yanga inaongelewa zaidi kuliko timu ya Simba iliyotaka kuuchoma moto uwanja wao kipindi kile, kwa sababu tu ya imani za kishirikina?

Au hao Wasauzi wana ugonjwa wa kusahau!
Labda imesahaulika
 
Mimi ni shabiki wa Simba na siwez kuleta ushindani wa kijinga. Yanga wamekuwa na msimu mzuri sana na wameleta ushindani mkubwa sana Kwa mamelodi big up sana watani , mtoa mada Yuko sahihi
[emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom