DOKEZO Majohe kuna changamoto kubwa ya barabara

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

ebbyramadhani

Senior Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
101
Reaction score
109
Hii ni Barabara ya Majohe wilaya ya Ilala kata ya Ukonga

Barabara iliharibika Sana baada ya mvua kubwa zile kunyesha mfululizo, Baada ya mvua kukata wakaleta vifusi ambavyo wamevipanga barabarani kutoka relini mpaka kituo kinaitwa Kwa mjeshi.

Baadilhi ya vifusi wamevisambaza na kuvishindilia, lakin kuanzia kituo cha Halisi mpaka Kwa mjeshi vifusi bado vipo wiki ya 3 sasa na ni changamoto mno Kwa watumiaji wa Barabara hiyo sababu gar zinapita Kwa tabu mpaka zisubiliane na kuna sehem gari haiwez kupita kabisa sababu pamechimbika Sana upande ambao hamna kifusi

Nauli zinakua juu na magar mengi hayamalizi luti.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…