Majonzi ya kupoteza mwanafunzi mwenzetu

magoye

Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
37
Reaction score
0
machozi yatutoka wanafunzi wa udsm ktk campasi ya mkwawa baada ya kupoteza mwanafunzi mwenzetu wa mwaka wa pili R.N.P MWANAFUNZI MWENZETU
 
Poleni sana, may his soul rest in peace. Amen.
 
machozi yatutoka wanafunzi wa udsm ktk campasi ya mkwawa baada ya kupoteza mwanafunzi mwenzetu wa mwaka wa pili R.N.P MWANAFUNZI MWENZETU

Poleni sana! Msomi amepungua. Je anaitwa nani? Alifariki kwa sababu gani? Je alikuwa mwaka wa ngapi? Je alikuwa BED/BAED?
Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa millele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amina!
 
R.I.P
Mkumbuke duniani tunapita. Tusimsahau Mungu
 
machozi yatutoka wanafunzi wa udsm ktk campasi ya mkwawa baada ya kupoteza mwanafunzi mwenzetu wa mwaka wa pili R.N.P MWANAFUNZI MWENZETU
Hawa wasomi wetu siku hizi ni majanga matupu! Hawezi kuandika neno "KUFARIKI" badala yake anaadika "KUFALIKI". Hata kifupisho cha R.N.P kwangu ni kigeni, ama ulimaanisha R.I.P? Dah, ngoja nikae kimya nisubiri wenyewe waje!
 
Na wasi wasi na uanafunzi wako.
 
Hawa wasomi wetu siku hizi ni majanga matupu! Hawezi kuandika neno "KUFARIKI" badala yake anaadika "KUFALIKI". Hata kifupisho cha R.N.P kwangu ni kigeni, ama ulimaanisha R.I.P? Dah, ngoja nikae kimya nisubiri wenyewe waje!

Ningekuwa Moderator ningeshaondoa hii thread. Sijui ameandika akiwa kwemye jeneza anaaga! Hakuna wa kujibu maswali ya msingi.
 
For we are educated people we allow mistakes to appear anywhere! b'se we are not examination markers.
R.I.P Student!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…