Majukumu na Uhuru wa Mkuu wa Jeshi la Polisi

Majukumu na Uhuru wa Mkuu wa Jeshi la Polisi

moshingi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
278
Reaction score
93
Katika kuidurusu rasimu ya Katiba mpya, sehemu ya YALIYOMO sura ya Kumi na Tano sehemu (c) yenye Kichwa cha habari Polisi wa Jamhuri ya Muungano kifungu cha 230 Warioba na wenzake wameandika Majukumu na Uhuru wa Mkuu wa Jeshi la Polisi...nilishawishika kusoma ndani kujua namna ambavyo rasimu hii imeliandalia Jeshi letu hili
mazingira ya kuepukana na lawama kedekede zinazolizonga kwa muda sasa kutokana na kutokuwa huru katika utendaji wake wa kazi, NIMESTAAJABU SANA ndani ya rasimu hii hakuna kabisa kifungu hicho japo kimeorodheshwa katika
YALIYOMO. Bahati mbaya sana nimesikia watu kadhaa wakiwamo na wasomi wetu wamekuwa wakiisifia rasimu hiyo
ambayo inamapungufu ya wazi kabisa...Je imefanyika kwa bahati mbaya au ni makusudi??
 
Back
Top Bottom