Habari zenu?
Mtu fulani alifungua kesi ya madai dhidi ya mtu mwingine.
Mdai alishindwa kutoa ushahidi wowote ingawa mdaiwa aliwaita mashahidi watano (wawili kutoka serikalini).
Mwishoni wasaidizi wa jaji walisema kwamba mdai hana haki yoyote, lakini jaji alisema kwamba ni kweli mdaiwa alinunua mali hayo lakini serikali alifanya kosa ndogo, yaani alitaja katika barua fulani kifungu kisichofaa, kwa hiyo mdaiwa analazimishwa kumpa mdai mali hiyo!
Tafadhali mnieleze je jaji anaweza kuamua kinyume cha wasaidizi wake wite?