Majukumu ya Katibu Mkuu

Majukumu ya Katibu Mkuu

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Katibu Mkuu atakuwa na kazi ya;

1. Kuandaa uchaguzi wa ndani unaotarajika kufanyika 2022:kuchagua viongozi katika ngazi zote;matawi,kata,wilaya,mkoa na Taifa.
2. Pia atakuwa na jukumu la kusimamia rasilimali za Chama.
3. Atakuwa na kazi ya kudhibiti makundi ndani ya Chama yanayojitokeza wakati wa Uchaguzi.
4. Kudhibiti makundi ndani ya Chama yanayotokea wakati hakuna Uchaguzi.
5. Kuangalia maslahi ya wafanyakazi.
6. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.
 
Haya ngoja tuone Kama ataweza kuyafanya hayo
Nalog off
 
Kuunganisha makada.Maana wengi wana majeruhi na mioyo iliyojaaa hamu ya visasi
 
Back
Top Bottom