Wadau!
Katika miaka ya hivi karibuni ilianzishwa bodi kwa ajili ya kuangalia mishahara sekta mbalimbali hapa nchini na kazi yao ya kwanza ilikuwa mwaka 2010. Tokea kipindi hicho mpaka leo mbali na mfumuko wa bei kuwa katika asilimia kubwa sana wamekaa kimya mno, hivi bodi hii ipo? ama ndio yale yale...!