Majukumu ya mmbongo

Majukumu ya mmbongo

mbongo ananikosha nini eee..............juu ya majukumu yote hayo bado ana na 'nyumba ndogo' na anatoa michango ya 'harusi na send off'!

mimi mchango wa send off sitoi na wala wa harusi..........
 
105,000/- Inatosha according 2JK.............

  1. Kodi.................25,000/= ( Mbagala au Bunju B)
  2. Umeme..............5,000/=
  3. Maji...................5,000/=
  4. Ada ya Shule.......25,000x4=100,000/=
  5. Wazee kijijini........50,000/=
  6. harusi...................20,000/=
  7. Sendoff.................20,000/=
  8. Arobaini.................20,000/=
  9. Nyumba ndogo........5,000/=
  10. Nyumba kubwa........5,000/=
  11. Bili ya maziwa..........30,000/=
  12. Nauli....1000x24.......24,000/=
Jumla ndogo......................309,000/=
Mshahara.........................115,000/=
Jumla ndogo.....194,000/=
Utadaiwa kila mwezi..........194,000/=

POLE SANA MFANYAKAZI WA TANZANIA.
 
Kwa mtaji huu, ufisadi sidhani kama utakwisha.
 
Hapo lazima mtu chali!...usingizi hapo hupati aisee! si auze hiyo nyumba ndogo alipe bili?
 
Back
Top Bottom