Majukumu ya Mnadhimu Mkuu kwenye Majeshi ya Ulinzi ni yapi?

Majukumu ya Mnadhimu Mkuu kwenye Majeshi ya Ulinzi ni yapi?

dinongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
814
Reaction score
1,054
Wakuu habari,

Kuuliza sio ujinga , ningependa kujua ni yapi majukumu ya Mnadhimu Mkuu kwenye Majeshi ya Ulinzi ktk Nchi zetu ,

Je, majukumu yao hayafanani na CDF au!?
 
Kwaiyo kila jeshi duniani huwa Lina mnadhimu mkuu
... sorry; nimemjibu kwa context ya Tanzania ambapo mnadhimu mkuu ni 3-star general (luteni jenerali) just one step below the general of the army (4-star general) ambaye ndiye mkuu wa majeshi. Sijui kwa nchi nyingine.
 
Wakuu habari,

Kuuliza sio ujinga , ningependa kujua ni yapi majukumu ya Mnadhimu Mkuu kwenye Majeshi ya Ulinzi ktk Nchi zetu ,

Je, majukumu yao hayafanani na CDF au!?
Mnidhamu Mkuu,unaweza kumwita.
Ukifanya makosa ya UCMJ (Universal Code of Military Justice) unapelekwa kwake.
Wanazo sheria wanajeshi ambazo kila mwanajeshi anapaswa kuzifahamu.
 
Back
Top Bottom