Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Huo ni mtizamo wako minaona kwenye kikao cha madiwani nafasi ya mkurugenzi anatakiwa awe mbungeMajukumu ya wabunge wapewe madiwani fatailia hiyo post niliweka humu
Hapana mkurugenzi habaki ila mbunge nafasi ya kitaifa sababu inaonyesha wengi wanaenda kushikilia wananchi wote wanchi ndio maana maendeleo jimboni yana shindikana.Kwenye kikao cha madiwani nafasi ya mkurugenzi anatakiwa awe mbunge
Mkurugenzi hajachaguliwa na wananchi wa jimbo husika hana uchunguHapana mkurugenzi habaki ila mbunge nafasi ya kitaifa sababu inaonyesha wengi wanaenda kushikilia wananchi wote wanchi ndio maana maendeleo jimboni yana shindikana.
Mkurugenzi hatakiwi kuwa mwanasiasa wala kujihusisha na siasa kazi yake kama mtumishi na kusiwe na uteuzi bali ukurugenzi utapewa kulingana utendaji ,elimu na vyeo utakavyo pata kwenye utumishiMkurugenzi hajachaguliwa na wananchi wa jimbo husika hana uchungu
Maendeleo yanashindikana sababu Mkurugenzi mteuliwa wa Rais wengi wamuhofia aliyewateua kuliko wananchi wa jimbo husika
Mkurugenzi anamuhofia Rais aliyemtua na mda wowote anamfuta kazi au kumuhamisha kuliko wananchi hapo hakuna kituMkurugenzi hatakiwi kuwa mwanasiasa wala kujihusisha na siasa kazi yake kama mtumishi na kusiwe na uteuzi bali ukurugenzi utapewa kulingana utendaji ,elimu na vyeo utakavyo pata kwenye utumishi
Nafasi ya Mkurugenzi iachwe ili ateuliwe na mkuu wa mkoa anayechaguliwa na raia katika uchaguzi. Nafasi za kuondoa ni mkuu wa wilaya, DAS na RAS.Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo
Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia hii nafasi kufanya mambo yao binafsi na sio kuwatumikia wananchi
Minaona ili mbunge awe anawajibika 24/7 ni vizuri wakurugenzi wakaondolewa na nafasi zao au majukumu yao wafanye wabunge
Faida zake ni kama zifuatazo
Karibu uchangie
- Mbunge atakuwepo bungeni mda wote sababu majukumu yote ya mkurugenzi atakuwa anayafanya yeye
- Ile dhana mbunge anachaguliwa sikonge, mpanda na sehemu nyingine na kuja kuishi dar haitakuwepo
- Mbunge atakuwa anapata experience ya kero za watu wa jimboni kwake na itakuwa ni rahis kuwatetea
Usisahau kusupport kazi yangu.
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Kifupi utaratibu wa kuwa na wateule wa Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala kwenye serikali za mitaa ni kuendeleza ukoloni!Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo
Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia hii nafasi kufanya mambo yao binafsi na sio kuwatumikia wananchi
Minaona ili mbunge awe anawajibika 24/7 ni vizuri wakurugenzi wakaondolewa na nafasi zao au majukumu yao wafanye wabunge
Faida zake ni kama zifuatazo
Karibu uchangie
- Mbunge atakuwepo bungeni mda wote sababu majukumu yote ya mkurugenzi atakuwa anayafanya yeye
- Ile dhana mbunge anachaguliwa sikonge, mpanda na sehemu nyingine na kuja kuishi dar haitakuwepo
- Mbunge atakuwa anapata experience ya kero za watu wa jimboni kwake na itakuwa ni rahis kuwatetea
Usisahau kusupport kazi yangu.
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Mbunge baada ya uchaguzi anaenda kufanya shughuli zake anageuka mtalii alafu kila mwisho wa mwezi anapewa mshahara na allowance na ilihali hata jimboni haishi sio fair hata kidogoKifupi utaratibu wa kuwa na wateule wa Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala kwenye serikali za mitaa ni kuendeleza ukoloni!
Kingine, wabunge wabanwe kufanya midahalo walahu mara 2 kila mwaka na wananchi wa Jimbo husika. Hii itasaidia kupata maoni ya wananchi kwa ajili ya mawasilisho bungeni. Utaratibu wa sasa unafanya wabunge wasiwajibike kwa wananchi!
Changamoto ni mkurugenzi akiwepo mbunge hana kaziNafasi ya Mkurugenzi iachwe ili ateuliwe na mkuu wa mkoa anayechaguliwa na raia katika uchaguzi. Nafasi za kuondoa ni mkuu wa wilaya, DAS na RAS.