Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ndugu zangu salam sana naomba sana soma polepole huku unatafakari na kulinganisha na uhalisia ili uelewe ninacho kimaanisha hapa
Siwakatazi mfanye kazi maana sina chakula cha kuwapa wala hela za kuwagaia bure, siwakatazi mkatae kuhamishwa kikazi maana kaeni mkijua sitokua na msaada na nyie wowote ule,
Siwakatazi kuoa au kuolewa , siwakatazi kupenda ila jiulizeni fimbo ya mbali ni kwanini haiui nyoka, na je utawezaje kuishi kwa akili na mwanamke na utawezaje kumtii mwanaume huku upo nae mbali kimwili kwa kisingizio cha majukumu?
1: Ni ukweli usio pingika kwamba majukumu ya kila siku yakujitafutia riziki ndiyo yanayotutenganisha na wapendwa wetu, haijalishi mtapendana kiasi gani au utakua muaminifu kiasi gani ila lazima doa litaingia kati yenu iwe kupitia kwa mwanaume au kupitia kwa mwanamke lazima usaliti utatajwa miongoni mwenu, kikubwa omba hata ukisalitiwa usijue
- majukumu ndiyo chanzo kikuu cha kuvuruga uaminifu ndani ya ndoa
2: Ni ukweli kwamba majukumu / kazi ndiyo chanzo kikuu cha kututenganisha na wapenzi , watoto, wake au waume zetu na kusababisha mtafaruku mkubwa ndani ya ndoa na familia kiujumla
3: Ni ukweli kwamba fimbo ya mbali haiui nyoka, unajitahidi kuwa fimbo ya karibu ili uue nyoka na unaoa au unaolewa vizuri tuu ila majukumu ndiyo chanzo cha kukuweka mbali na mpendwa wako na kukugeuza wewe kuwa fimbo ya mbali isiyo uwa nyoka.
4: Ni ukweli kwamba maandiko yanasema utaachana nawazazi wako na kuambatana na mkeo na kua mwili mmoja ila hayakusema utaachana na wazazi uambatane na kazi kuwa pamoja ila kwenye kazi yalisema asiyefanya kazi na asile.
- sawa tunafanya kazi ili tule ila kazi zetu ndizo zinazotutenga tusiambatane nawake zetu, kazi zetu (majukumu ya kila siku) ndiyo yanayotuweka mbali na njia wanazopita wake zetu na kutupelekea kusalitiwa pasi na huruma yeyote na wake au waume zetu
5: Ni ukweli kwamba umoja wa nafsi, mwili na roho wakua mwili mmoja na wapendwa wetu unaondolewa / unatenganishwa na majukumu ya kila siku maana huko maofisini waume na wake zetu wanakula na kuliwa sana kwa kigezo cha majukumu ili kuendesha maisha huku wake zetu wakiongoza kuliwa sana kuliko hata anavyoliwa na mume wake
6: Majukumu yamekua chanzo cha wake zetu kutusaliti, Haijalishi utamfungia ndani ila kumbuka utaondoka utaenda kwenye mihangaiko yako ya kila siku, je huko nyumbani umemwacha na nani, je huko nyumbani umemwachaje na je unajuaje kama analiwa na masela wa kitaa walala hoi wasio na kazi,
-je, vipi kuhusu bodaboda wake anaye mletea mkaa, aliyekua anampeleka klinik, vipi kuhusu muuza duka pale mtaani kwenu atamuacha salama?
- Vipi kama wewe ni dereva wa masafa marefu, mwajiriwa uliyepewa uhamisho mbali na mkeo au mumeo , askari au mfanyabiashara wa kusafiri mara kwa mara je, unapoenda kwenye majukumu na kumuacha mpendwa wako awe mwanaume au mwanamke unajua ni nani anaye mridhisha kimwili, je, unajua kalala na wangapi wewe ukiwa haupo?
7: Majukumu yamekua chanzo cha kufifisha upendo miongoni mwawapendwa wetu na kutuacha tukiwa tunanafikiana kila kukicha,
-Utasafiri kikazi mwenzako atabaki ana kusaliti
- Utapangwa kikazi mbali na mumeo au mkeo ila mwenzako ataonyesha kuhuzunika ila moyoni atasema bora aende ili ajinafasi maana ulikua unambana bana
- Utasema basi niwe mwaminifu kwa mume au mke wangu ila kumbuka moyo wa mtu ni kichaka kikubwa wewe unapokua mwaminifu mwenzio anasema sasa acha nile totoz nibadilishe ladha huku mkeo akiruhusu kuliwa na kila mwanaume amtakaye
- Utasema acha niombe ruhusa kazini ni safiri nikamsalimie mpendwa wangu, utanunua zawadi na vitu kedekede na kufika kwa mpendwa wako , ndugu kaa ukijua utanafikiwa na kupokelewa kwa furaha ila moyoni mwezio anasema hajui tuu bora aondoke haraka likizo yake iishe mapema yeye aendelee kuponda raha na wanaume au wanawake zake.
jiulizeni ndugu zangu
..... je, furaha ipo wapi, je, nini maana ya ndoa , nini maana ya upendo na nini maana ya kuwa mwili mmoja, ni nini maana ya kuambatana kama majukumu yanachukua nafasi ya sisi kufanyiwa yote hayo haijalishi ni mwanaume au mwanamke unafanya au unafanyiwa?
.....je, majukumu yakitutenganisha upendo ufifie, ndoa iwe ndoa mfu huku tukibaki kunafikiana kulea watoto kama matunda ya ndoa yetu na kuvumilia machungu ya usaliti ulioletwa kati yetu na majukumu / shughuli za kila siku za mwanadamu
.... je, nini maana ya kua mke na mume kama wote tunafanya kazi na hatupo pamoja unakuta mke yupo kule na mume yupo huku kila mtu na mkoa wake kikazi alafu mnaitana mume na mke?
..…je, tubaki kuishi kama wanyama huku tukikubali kuchapa nakuchapiwa kisirisiri , hukutukibaki kunafikiana kuaminiana kumbe tunasalitiana huku ukijua kabisa mume akiwa mbali kikazi atafute wanawake wa kumridhisha na mke akiwa mbali aridhishwe na wanaume wengine ?
Ndugu zangu njoeni hapa tujadiliane kwa kina jambo hili tata tunalo ishi nalo huku duniani.