MAJUMUISHO ; MAADUI WAKUBWA wa KATIBA MPYA

MAJUMUISHO ; MAADUI WAKUBWA wa KATIBA MPYA

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
914
Wana jf;

Kuanzia hapo awali wakati wa mchakato wa katiba mpya kuna watu au makundi ya watu ambao walionyesha wazi kabisa kuwa hawakubaliani au hawapendezwi na uundwaji wa katiba mpya na katika vipengele vikuu ambavyo kwao ni kama sumu kwa maslahi yao ni Muundo wa Muungano wa serikali tatu, madaraka ya rais kupunguzwa, wabunge kutokuwa mawaziri, uteuzi wa spika na mengineyo.

Maadui hao tuwaweke hapa hadharani ili tuwaangalie kwa makini:

Mi naanza na wa kwanza SELINA KOMBANI huyu alisema kuipata katiba mpya ni gharama.
 
Mwingine ni ; Chikawe huyu alisema JK asiposaini muswaada wa marekebisho ya katiba mpya atatengeneza mgogoro na bunge.
 
Mwingine ni Bulembo anayemsakama kwa maneno ya kuudhi Mwenyekiti wa Tume Jaji Warioba akitaka afuate matakwa ya CCM huku akijua wazi Warioba anasimamia mawazo ya Wananchi walio wengi.
 
Back
Top Bottom