ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
MAJUTO KWA KWA VIJANA WENYE FIKRA FINYU WALIOZAMA NDANI YA PENZI NZITO KWA HISIA KALI ZA KIMA MAPENZI.
Intro.
Crazy winner.
"nimekuja Doctor naomba unieleze majibu yangu naomba uniambie ukweli"
Doctor "Siwezi kukuficha kwakweli we ni muathirika "
🔊 " jannet umeponza mama"
penzi lako halikuwa na maana "
sasa Mimi nimepatikana"
sasa winner nimepatikana " 🔊
✍🏿hicho ni sehemu tu kifupi cha kiitikio cha wimbo Wa Msanii " crazy winner " kinaitwa " jannet"...
Huu ni ujumbe special /maalumu Kwa vijana wanaoingia katika mahusiano na watu ambao kiukweli hawawatambui vyema. Kianzia Tabia,afya & lifestyle zao kwa ujumla...
✍🏿wimbo Wa crazy winner ulitoka katika nyakati ambazo maambukizi ya virusi vya ukimwi yalikuwa mengi lakini pia ndugu na jamaa zetu walipoteza maisha Kwa wingi 😭😭😭😭😭😭
Tofauti na ilivyokwasasa waathirika wengi wa (VVU) wanatumia Dawa za kupunguza makali ya VVU " ( A.R.V).Kwa hiyo vifo vinavyotokana na virusi vimepungua vimebaki tu Kwa wale ambao hawazingatii matumizi sahihi ya vidonge vya "ARV"
Je, Mahusiano uliyonayo Kwa sasa ni salama ama ndio tamaa za mwili zimekufanya uwe nae.
Sikiliza message toka "mzimuni family ft q chief " wimbo unaitwa "fani katika Maisha".
UKWAJU WA KITAMBO
0767 542 202