Majuto ni mjukuu...

Majuto ni mjukuu...

mediaman

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2011
Posts
451
Reaction score
688
Wakuu, naomba kujua maana halisi ya "Majuto ni mjukuu..."
 
Kwamba kujuta Sana ni zao la kuchelewa Chelewa Mambo ya msingi
 
Wakuu, naomba kujua maana halisi ya "Majuto ni mjukuu..."
Unajua maana ya mjukuu, yaani mtoto aliyezaliwa na mtoto wako uliyemzaa.
Majuto (mjukuu/uzao wa mwanao) ni matokeo ya matendo uliyofanya kwa kujua ama kutojua (uzao wako).
Haimaanishi kuwa kuzaa ulifanya kosa na mtoto wako kuzaa nako ni kosa, ni ulinganishi tu.
 
Back
Top Bottom