Unajua maana ya mjukuu, yaani mtoto aliyezaliwa na mtoto wako uliyemzaa.
Majuto (mjukuu/uzao wa mwanao) ni matokeo ya matendo uliyofanya kwa kujua ama kutojua (uzao wako).
Haimaanishi kuwa kuzaa ulifanya kosa na mtoto wako kuzaa nako ni kosa, ni ulinganishi tu.