Majuto ya P Funk Majani yanatufundisha nini Vijana ambao hatujaoa?


Yaah inaweza kuwa ujinga kwa kadiri ya ulipochagua kuamini

Mungu alikuumba hivyo ulivyo uchague umkubali au umkatae yote ni sawa. Ni wewe tuu

Ukimkubali au ukimkataa hapati chochote
Isipokuwa athari hutokea kwako

Kwa mfano

Mungu amekuumba tayari akiwa amefanya Dunia ili uishi
Akaumba hewa kabla yako
Akaumba maji kabla yako
Akaumba Nuru/Jua kabla yako
Akaumba miamba/ardhi kabla yako
Kisha akaweka mimea na wanyama ili uwatumie uishi vyema

Akakupa hiyari ya kuishi(kutumia aliyoyaumba)au uchague kufa (usitumie aliyokupa) kwa usahihi

Usipokula chakula Mungu haathiriki popote zaidi ya yote wewe ndio utaathirika kwa njaa na kufaa

Usipokunywa maji Mungu haathriki popote zaidi ya wewe ndio utasikia kiu na kufa

Usipovuta hewa Safi najua unajua kitakachofuata

Yote unayoyafanya ili uishi ndio huitwa Ibada kwa Mungu
Yote unayofanya ili Dunia
Na viumbe wake wawe salama huitwa wema nao ni ibada

Sasa kama kula na kunywa maji umeona ni ujinga pia ni sawa

Kama kuoa mke na kupata raha ya Mapenzi na kupata watoto ambapo ni ibada kwa Mungu ni ujinga pia ni sawa

Kwani kipi kinakusumbua Mkuu?
Je ni uwepo wa Mungu hauamini?
Au je ni shaka ya utendaji kazi wake?
Au Je ni nguvu zake?
 

Nimeeleza kwenye uzi mwingine
 
Naona uzee ukikaribia zinamrudi sasa.. Hapaswi kujuta zaidi bali akumbuke majigambo na ubabe aliofanyia watoto wa wenzake!
Anajifunza katika njia ngumu na huu ni mwanzo tuu.. Paula atakuwa kipele kuliko kijipu uchungu KARMA IS BIT.CH..!!! KARMA IS SNITCH..!!!
 
Sehemu ya kazi ya Mungu ni ujinga? Kwa nini Mungu afanye kazi yake iwe ujinga?

Kwa nini hakufanya kazi iliyojaa werevu wa kutukuka bila hata harufu ya ujinga?

Ni Mapenzi yake iwe hivyo

Dunia yetu imeumbwa kwa mfumo na kanuni ya Ukinzani

Juu Vs Chini
Mwanamke Vs mwanaume
Usiku Vs mchana
Akili Vs ujinga
Ufupi Vs urefu
Nuru Vs Giza

Ubaya Vs Uzuri

Sio kwamba alishindwa kuumba werevu pekee bali Mapenzi yake yaliitaka Dunia iwe hivi ilivyo

Vipo vitabu vinaeleza kuwa zipo sayari nyingine nje ya mfumo wa jua hazina kanuni hii ya Ukinzani

Mathalani Mbinguni waishipo malaika na viumbe waliotajwa kwenye ezekiel zinaeleza kuwa hakuna usiku wa mchana na hawahesabu siku wala saa

Ni ubunifu tuu Mkuu

Ni kama uulize mbona Mungu hakuumba kuku wanaozaa au sisi mbona hatutaki. Ni ubunifu tuu. Wengine wawe hivi wengine wawe vile

Pengine kuwe hivi kwingine kuwe vile
 

🤣🤣🤣🤣🤣

Kumbe ni kisasi

Ila Mungu anajua namna ya kuhukumu
 
Ambaye hatokuelewa hapa,huyo nae ni sampuli za kina Paula/kajala/Esma/Mobeto/gigy/amber zote/Anti Ezek/Faiza kuzaliwa na malaya na wao kutegemea kuzaa malaika🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…