Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Naona ni vizuri tuanze kuwekeza kwenye umeme wa nyuklia.Umeme ni kikwazo kikubwa sana kwa Tanzania hasa linapokuja swala la viwanda hasa smelting ambazo kwa kiwango kikubwa sana zinatumia umeme mwingi mfano smelting ya aluminium inaweza ikatumia megawatts 4000
Smelting ili ziwe na faida zinatakiwa ziwashwe kwa mda hata wa miaka 2 ndo zizimwe kwa matengenezo hayo ni makadirio tu sasa kwa umeme wetu ni wazi hilo haliwezekani sababu unakatika mara kwa mara
Makaa ya mawe yanaweza kutumika kwenye smelting kama fuel kwenye blast furnance kuchakata chuma, copper, glass, na dhahabu
Tanzania tunamakaa ya mawe mengi na tuna nchi jirani ambazo zinamakaa ya mawe mengi sana kama msumbiji na South Africa tukitumia hii nafasi vizuri basi itatusaidia sana kwenye uwekezaji wa smelting ambao ni msingi wa viwanda
Makaa ya mawe yanachafua sana mazingira ila kwa upande mwingine ni mkombozi kwa nchi maskini kama Tanzania zinazojitafuta
Wazo zuri Ila SASA ......Naona ni vizuri tuanze kuwekeza kwenye umeme wa nyuklia.
Maana umeme wa gesi tumeshindwa, umeme wa maji tumeshindwa, wa jua tumeshindwa, wa upepo tumeshindwa, wa makaa ya mawe tulishindwa pia.
Umeme wa nyuklia ni gharama sana na kumantain waste nako ni gharama maradufuNaona ni vizuri tuanze kuwekeza kwenye umeme wa nyuklia.
Maana umeme wa gesi tumeshindwa, umeme wa maji tumeshindwa, wa jua tumeshindwa, wa upepo tumeshindwa, wa makaa ya mawe tulishindwa pia.
Umeme wa nyuklia ni gharama sana na kumantain waste nako ni gharama maradufuWazo zuri Ila SASA ......
Mfano radioactive waste kama plutonium ina half life ya miaka 24,000Naona ni vizuri tuanze kuwekeza kwenye umeme wa nyuklia.
Maana umeme wa gesi tumeshindwa, umeme wa maji tumeshindwa, wa jua tumeshindwa, wa upepo tumeshindwa, wa makaa ya mawe tulishindwa pia.
Makaa ya mawe yalitakiwa yatumike kuvutia viwqaUmeme ni kikwazo kikubwa sana kwa Tanzania hasa linapokuja swala la viwanda hasa smelting ambazo kwa kiwango kikubwa sana zinatumia umeme mwingi mfano smelting ya aluminium inaweza ikatumia megawatts 4000
Smelting ili ziwe na faida zinatakiwa ziwashwe kwa mda hata wa miaka 2 ndo zizimwe kwa matengenezo hayo ni makadirio tu sasa kwa umeme wetu ni wazi hilo haliwezekani sababu unakatika mara kwa mara
Makaa ya mawe yanaweza kutumika kwenye smelting kama fuel kwenye blast furnance kuchakata chuma, copper, glass, na dhahabu
Tanzania tunamakaa ya mawe mengi na tuna nchi jirani ambazo zinamakaa ya mawe mengi sana kama msumbiji na South Africa tukitumia hii nafasi vizuri basi itatusaidia sana kwenye uwekezaji wa smelting ambao ni msingi wa viwanda
Makaa ya mawe yanachafua sana mazingira ila kwa upande mwingine ni mkombozi kwa nchi maskini kama Tanzania zinazojitafutaView attachment 3281911
Makaa ya mawe yalitakiwa yawe mabaged vyema ili kuvutia ajira kwa vijana wetu!Umeme ni kikwazo kikubwa sana kwa Tanzania hasa linapokuja swala la viwanda hasa smelting ambazo kwa kiwango kikubwa sana zinatumia umeme mwingi mfano smelting ya aluminium inaweza ikatumia megawatts 4000
Smelting ili ziwe na faida zinatakiwa ziwashwe kwa mda hata wa miaka 2 ndo zizimwe kwa matengenezo hayo ni makadirio tu sasa kwa umeme wetu ni wazi hilo haliwezekani sababu unakatika mara kwa mara
Makaa ya mawe yanaweza kutumika kwenye smelting kama fuel kwenye blast furnance kuchakata chuma, copper, glass, na dhahabu
Tanzania tunamakaa ya mawe mengi na tuna nchi jirani ambazo zinamakaa ya mawe mengi sana kama msumbiji na South Africa tukitumia hii nafasi vizuri basi itatusaidia sana kwenye uwekezaji wa smelting ambao ni msingi wa viwanda
Makaa ya mawe yanachafua sana mazingira ila kwa upande mwingine ni mkombozi kwa nchi maskini kama Tanzania zinazojitafutaView attachment 3281911
Ile mitambo ikikosa umeme wa kupoozwa itakuja na maafa makubwa kuliko ulivyofikiria ..................yale mafuta yanatakiwa kupoozwa sasa ile katika katika ya umeme .......mara washa mara zima mara washa mara zima ..........tutakimbia inchi wenyeweNaona ni vizuri tuanze kuwekeza kwenye umeme wa nyuklia.