nahitaji mtu anayejua kutengeneza makabati ya maduka ya dawa yanayohamishika, sijapena kununua yale ya kichina, nataka ya mbao za kibongo. nilisikia prison/magereza, au veta. mwenye ujuzi naomba anijuze. yawe ya kibongo lakini yawe mazuri kama ya kichina kwa sura. asanteni.