Hii list ni invalid wakinga wanakosaje hapo asee .........Huu ni kwa mujibu wa utafiti nilioufanya naomba uzi huu usiondoleweeee maana watani zangu mpooo haya twende sasa
Tukianzia nambari moja hapa nazungumzia ubahili wa kutoa pesa mfukoni.
1.waha kutoka kigoma.
2.wapare kutoka same.
3.wameru toka arushaa
4.wahangaza toka ngara.
5.wasambaa toka tanga
6.wandengereko toka rufiji
7.wachaga toka kilimanjaro
8.wakurya toka tarime.
9.wapemba toka zenji
10.wamanyema toka kigoma.
Huu kwa mujibu wa utafiti kwa watani zangu tupunguze ubahiliii jamani tujifunze kutoa hahahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kabila gani?Huu ni kwa mujibu wa utafiti nilioufanya naomba uzi huu usiondoleweeee maana watani zangu mpooo haya twende sasa
Tukianzia nambari moja hapa nazungumzia ubahili wa kutoa pesa mfukoni.
1.waha kutoka kigoma.
2.wapare kutoka same.
3.wameru toka arushaa
4.wahangaza toka ngara.
5.wasambaa toka tanga
6.wandengereko toka rufiji
7.wachaga toka kilimanjaro
8.wakurya toka tarime.
9.wapemba toka zenji
10.wamanyema toka kigoma.
Huu kwa mujibu wa utafiti kwa watani zangu tupunguze ubahiliii jamani tujifunze kutoa hahahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpare cha mtoto kwa muhahadi sasa hivi najiuliza mpare kawaje namba mbili.
tume hapo sidhani kama ilikuwa huru, kaonewa, alitakiwa awe moja.
Mchaga anatokaje Dar!
Wamasai siyo wabahili bali mpaka leo hawajui matumizi ya Fedha .umewasahau wamasai wewe