Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Hatari sana,sasa mwanamke akiwa anataka mchezo anasemaje kwa makabila hayo hayo.
Who can guess.
Hiyo ya kimasai ndo imenitoa: 'Mama Yeyo nipe ile kitu inayomesa mwenzake' π
Jinsi makabila mbali mbali yanavoomba tendo la unyumba,
Wakurya:Mama Chacha twende 2kakandamize!
Wamasai:Mama Yeyoonipe ile litu inamesa mwensake!
Wahaya: Mama Bojo infwakti rara nikurarie!
Wachaga:Mama Sia fungua kibubu nitupe shilingi ati!
Kiboko yao Wapemba: aaah! Mama Sefu panua paja mti waja!
Je kabila lenu linasemaje?
Quite a number of weaknesses in these love commands!!! Simply women are there for men!!! Hakuna kubisha, lete in any how!!! Kweli ndoa za kiafrika tunahitaji kubadilika. Mostly, one way traffic!!!
Jinsi makabila mbali mbali yanavoomba tendo la unyumba,
Wakurya:Mama Chacha twende 2kakandamize!
Wamasai:Mama Yeyoonipe ile litu inamesa mwensake!
Wahaya: Mama Bojo infwakti rara nikurarie!
Wachaga:Mama Sia fungua kibubu nitupe shilingi ati!
Kiboko yao Wapemba: aaah! Mama Sefu panua paja mti waja!
Je kabila lenu linasemaje?
Du leo nimecheka mpaka kulia machozi, sisi wabongo nuksi kwa kubuni misemo. Laiti tungekuwa sharp namna hii katika nyanja zote tungekuwa hata tumeshatua kwenye sayari ya Mars.Jinsi makabila mbali mbali yanavoomba tendo la unyumba,