The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Sep 27, 2009 #1 Hivi ni makabila yapi tanzania yanayo keketa wasichana?mi nilikuwa sijui kama wachaga pia nao wanawa keketa wasichana,ningefurahi nikapata orodha yote ya makabila hayo tanzania.
Hivi ni makabila yapi tanzania yanayo keketa wasichana?mi nilikuwa sijui kama wachaga pia nao wanawa keketa wasichana,ningefurahi nikapata orodha yote ya makabila hayo tanzania.
K K4jolly JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 366 Reaction score 7 Sep 27, 2009 #2 Hapa ni mambo ya siasa. MOD peleka kunakohusika
kinetiq01 Member Joined Aug 25, 2006 Posts 49 Reaction score 0 Sep 27, 2009 #3 acha mzaha wewe, mbona unaoga sebuleni? hapa ni siasa au politics, mangariba hawapo.