Makabila na tabia zao

Makabila na tabia zao

MankaM

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
9,448
Reaction score
3,065
nahitaji kujua tabia za kabila la wamwela, wangoni, wapare:help::help::help:
 
wangoni na wapare hawana hiyana(yaan sio wachoyo ktk kutoa penzi,tofauti yao ni kubwa ni kwamba wangoni wanajua sana wawapo kwenye 6 kwa 6,ila wapare hawana lolote uwanjani,ni kama gogo vile
 
Na wamwela nahitaji kuelewa tabia jaman
 
wangoni na wapare hawana hiyana(yaan sio wachoyo ktk kutoa penzi,tofauti yao ni kubwa ni kwamba wangoni wanajua sana wawapo kwenye 6 kwa 6,ila wapare hawana lolote uwanjani,ni kama gogo vile

sasa hao wapare ni kwa wanaume au wanawake me nataka kujua kwa wanaume jaman
 
Haya wamwela tafadhali
 
wanaume wa kimwera wakioa huenda kuishi nyumbani kwa familia ya mke,wanafanyishwa kazi za nguvu hadi wanapozeeka hurudishwa kwao,watoto wanabaki kwa mama
 
wangoni na wapare hawana hiyana(yaan sio wachoyo ktk kutoa penzi,tofauti yao ni kubwa ni kwamba wangoni wanajua sana wawapo kwenye 6 kwa 6,ila wapare hawana lolote uwanjani,ni kama gogo vile

Nyoooo ko..! Ulekutana naye c Npare koma kabisa hiyo ni wa kabila lako
 
Back
Top Bottom