Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani amemaanisha makabila tajiri zaidi na sio makabila yenye wamachinga wengi zaidi......Mchagga au mkinga anakosaje?!
Tumehama kutoka nchi na mtu mmojammoja tumehamia makabila?Kwa mujibu wa utafiti wa iconic world Tanzania hakuna kabila kwenye top 10 ya Africa.View attachment 2388154
Mnaelewa maana ya utajiri kweli? Wachaga wana utajiri gani, wana mali gani? Maduka mjini? Maduka ni utajiri? Matajiri wa kweli wanamiliki ardhi kubwa, mifugo wengi, wana viwanda. sasa wachaga ukiona yale makampuni machache ya mabasi ya mikopo ndiyo utajiri. Hamko serious. Wachaga wanapenda show off, (maonesho) ambayo siyo sifa ya utajiri bali sifa ya umaskini.Mchagga au mkinga anakosaje?!
Wachaga hawana viwanda?Mnaelewa maana ya utajiri kweli? Wachaga wana utajiri gani, wana mali gani? Maduka mjini? Maduka ni utajiri? Matajiri wa kweli wanamiliki ardhi kubwa, mifugo wengi, wana viwanda. sasa wachaga ukiona yale makampuni machache ya mabasi ya mikopo ndiyo utajiri. Hamko serious. Wachaga wanapenda show off, (maonesho) ambayo siyo sifa ya utajiri bali sifa ya umaskini.
Humo sijaona Wamatumbi, Wandengereko...Wangindo...hiyo list batili tuu.Heeeeeeeee kama Wakwere hatupo ni batili