Makabila yanayoongoza kuwa na wanaume wenye sura nzuri Tanzania

Wasukuma🚮
 
Sura nzuri zinakupeleka wapi ndugu yangu? Hicho kipimo cha sura kiko wapi sasa?
 
Haaahaa,
Kua mzuri mpaka uwe mweupee na lips 👄 Kawa izo?

Nawaza TU WHATS BEAUTY?!
 
Huu sasa ushoga... unamsifia mwanaume kwa sura!!!! HAPANA..mwanaume ni kazi, tafuta pesa..Tunza familia
 
Sasa mbona umetuwekea picha ya nabii kibokobya wachawi
Sasa mbona tena umetuwekea picha ya nabii kiboko ya wachawi
 
CHAGGA
 
Kuanzia Singida, Manyara, na Arusha ndiko kuna wanaume wenye sura nzuri ila tabia ni zero wavivuuuuu mpk basi halafu si wamasai wote ni warefu wengine ni nyolonyolo kuzidi wazaramo kuna mmoja kabadili dini kuwa muislam sababu ya mwanamke wake
Uvivu umetusingizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…