Makabila yanayoongoza kuwa na wanaume wenye sura nzuri Tanzania

Kuanzia Singida, Manyara, na Arusha ndiko kuna wanaume wenye sura nzuri ila tabia ni zero wavivuuuuu mpk basi halafu si wamasai wote ni warefu wengine ni nyolonyolo kuzidi wazaramo kuna mmoja kabadili dini kuwa muislam sababu ya mwanamke wake
Huwa sisaspoti mtu kubadili dini kisa sababu yeyote ile ispokuwa kuisoma dini husika kupata ukweli na kuukubali ukweli .

Ila nina swali kwako kwani kubadili dini kuwa muislamu kuna shida yeyote ?
 
wanaume
wanaume wa hivi wanaliwa kiboga!! sura nzuri kuliko snura!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…