Makabila yetu na Sifa zake

Wasukuma.
1.Wanapenda wanawake weupe
2.Wapole.
3.Wanajua kuhonga.
4.Wanapenda kula ugali mgumu.
5.Wana wivu sana kwa wenza.
6.Hawajui kutongoza zaidi ya kusema" Dada li roho langu limekudondokea!
7.Ili upate mke kijijini lazima uwe na mbio na ujue kupiga ngwala,kwenye ngoma yao itwayo "Chagulaga"
 
sijaona wa kwetu hapo_hivyo no comment.
 
mkuu ni uvivu wa kuandika wasif ukajitosheleza au ndo uelewa wako umeishia hapn??? WAGOGo, WANYATURU, WAMASAI = hawa wanautajir wa ng'ombe ila wachoyo / bahir / binafsi wanapena wawe wanaangalia mifugo yaO na isipungue ila iongezeke hata km ndug / mtot anaumwa / anadaiw karo ya shule / chuo wapo radhi wamwache arudi nyumban kuchunga ngombe / auguziwE nyumban na miti shamba na sio kuuz ngombe ili upate hela ya matibabu / karo ya shule/ chuo.
 
Wasukuma wamezubaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…