Makaburi wa Tanzania ni wale wanaojiita wazawa.

Makaburi wa Tanzania ni wale wanaojiita wazawa.

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
Maana maneno haya ya wazawa yalisikika wakati DP weldi walipokuwa wanapingwa kuendesha Bandari , zikatoka hadithi kwamba , Kwanza Bandari wenyewe ni , wachomvi .
Neno makaburi wa Tanzania ni wazawa yapo kwenye Hotuba ya Mwl Nyerere kuhusu Raisi tunayemtaka, na matatizo ya Muungano. Na Ubaguzi miongoni mwetu.
 
Back
Top Bottom