Yanajaa kwa wasiyo na pesa au maalufuHabari ndugu,
Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?
Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu.
Shukrani
Makaburi hayo yako katikati ya jiji na kama ujuavyo mjini ni mwendo wa maghorofa, usiwe na shaka lako litakuwa juu ya mtangulizi wako.Habari ndugu,
Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?
Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu.
Shukrani
kuzikwa ni kuzikwa tuh nduguHapajai kwa wenye pesa. Kama we maskini utazikwa huko polini msongola
Aisee, sasa ninajiuliza, kwani tumekosa pa kuzikia? Mbona nje kidogo tu ya miji yetu ardhi kibao tu. Huenda serikali na raia hatujaona kama hili ni tatizo.Jamaa yangu alimzika Baba yake Makaburi ya Kinondoni Mwaka 2020,baada ya Mazishi akarudi Nairobi kupambana na maisha,kapata vipesa kidogo karudi nchini mwezi uliopita na akiwa na mpango wa kwenda kujengea kaburi la Mzee,kanunua vifaa kama siment,matofali,mchanga,marumaru nk,kufika na fundi Makaburini tayari Kwa kazi akashangaa kukuta Kaburi lingine palepale alipomzika Baba yake na limeshajengewa kabisa[emoji848]hana mahali pa kulalamika ikabidi zoezi liishie hapo
Hapajai kwa wenye pesa. Kama we maskini utazikwa huko polini msongola
Nishaona familia kadhaa za kawaida wakizikwa Kisutu pia. Aidha,kama kumejaa kumejaa tu. Hata akifukuliwa tajiri alazwe tajiri bado ni shida tu. Hoja ya msingi ni kujaa.
NJOO TANKIBOVU ULIZA MAKABURRI YA LUVENTRI UKIYAONA UTAJUA KWANINI HYA HUKO HAYAJAI ...UNAZIKA TONY BAADA YA MIEZI KADHAA UNAKUTA SALAMA JUU YAKE ACHA KABISAHabari ndugu,
Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?
Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu.
Shukrani
Sijajua ni kwanini inakuwa hivi. Huenda hata sisi wafiwa tunafanya makusudi. Tunakwepa gharama na muda labda. Sina majibu katika hili.NJOO TANKIBOVU ULIZA MAKABURRI YA LUVENTRI UKIYAONA UTAJUA KWANINI HYA HUKO HAYAJAI ...UNAZIKA TONY BAADA YA MIEZI KADHAA UNAKUTA SALAMA JUU YAKE ACHA KABISA
MKUUU UKIZIKA HAKIKISHA UNASAKAFIA NA ZEGE KABISA hURUMA HATUNA M NILIWAHI KUSIMAMIA KABURI MOJA PALE LUVENTRI NDUGU MWILI WA Mtu HUU GAFLA JAMAA WAKAOMBA KONYAGI WAKALETEEWA...NUSUSAAAWAKARUDI NDANI YA KABURI WAKACHIMBA PEMBEN AKAHIFADHIWA ALIEKUWEPO..BAADAE WAKALETA MZIGO WAKAWEKA KWA JUU YAKE YAANI MAREHEMU ANAZIKWA JUU YA MAREHEMUUSijajua ni kwanini inakuwa hivi. Huenda hata sisi wafiwa tunafanya makusudi. Tunakwepa gharama na muda labda. Sina majibu katika hili.
Siku ukifa ndio utajua yamejaa au laa kufa kwanzaHabari ndugu,