KERO Makaburi ya Mtaa wa 'Msamaria' Mkoani Dodoma yamegeuzwa Dampo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Video hii nimeirekodi Dodoma katika Makaburi ya Mtaa wa Msamalia, Kata ya Chang'ombe. Kumekuwa na hii kero ya muda mrefu sana katika maeneo ya Makaburi haya. Pamegeuzwa kuwa dampo.

Makaburi yamekuwa sehemu ya kutupia taka tena zinajaa kiasi cha kufunika baadhi ya Makaburi.

Tumejaribu kufikisha kero hii ngazi ya Serikali ya Mtaa lakini hakuna juhudi zozote zilizofanyika, inasemekana anayesimamia kikundi kazi cha kukusanya taka hizo ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Msamaria.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…