Pre GE2025 Makada CCM wadaiwa kusema waliotaka kuzuia Urais wa Samia wabanwe

Pre GE2025 Makada CCM wadaiwa kusema waliotaka kuzuia Urais wa Samia wabanwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716

Kada wa CCM na Mwandishi nguli wa Habari Maulid Kitenge amesema Makada ndani ya CCM wanataka wale wote Waliotaka kuzuia Urais wa Dkt. Samia Wabanwe

Kitenge amesema Makada hao hawajafafanua Ubanaji huo uweje

Source: Wasafi Media
 
Back
Top Bottom