makada wa ccm udom wazomewa

Unatafuta mchumba ..? Hatutaki watu wenye akili za kushikiwa kama wewe katika kuatafuta kuijenga Tanzania Mpya......

Kuna tatizo gani kutafuta mchumba? au unataka na mimi nijitwalie mke watu?
 

unaongea uharo na CCM iliyooza
 

Hapo kwenye nyeusi,hivo vitu haramu yahe,una hakika?
 
kaka pole sana lema hawezi kufanya hivyo siasa za chadema udom ni za kujitolea watu wanatoa nauli kwenda kwenye matukio sasa hiyo bangi labda wamenunua ccm pia sio hadhi ya lema kukujibu wewe .mimi mwenyewe ccm lakini mlienda bila kupewa kitu na lema bali mbunge wa dodoma alichukua wanafunzi wa shule ya sekondari city na kuwapa elfu mbili alafu chuo kimejegwa na watanzani wala sio ccm fikiri kwanza ndio utoe maoni tatizo ushabiki . tukubali kuwa chadema wameitikisa ccm alafu wabunge wa ccm hupenda kushabikia ujinga wanapata shida sio mafisadi bali maisha wanaishi wanafunzi ni magumu alafu watu wameenda bungeni kupiga makofi sasa kwa ajili gani watu wasizomee.kila siku unawasafirisha watu wakakusikilize alafu unasema kuwa serekali haina pesa waambie mafisadi wa change alafu wananchi waishi maisha bora .alafu usiwafundishe watu uoga ni zambi kubwa ccm kwa kuwa wakala wa ufisadi imetufilisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…