LGE2024 Makada wa CCM wapita nyumba kwa nyumba kuosha hadi vyombo ili tu wapigiwe kura za ndiyo

LGE2024 Makada wa CCM wapita nyumba kwa nyumba kuosha hadi vyombo ili tu wapigiwe kura za ndiyo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wana Jukwaa!

Tukiwa tunasubiri muda wa asubuhi kwenda kupiga kura katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambao unafanyika leo Novemba 27, 2024.

Kuna hii video imenishangaza na kujikuta nacheka na kutafakari sana. Ambapo inawaonyesha makanda wa CCM wakiwa nyumbani kwa mtu wanaosha vyombo na huku wakisema tunaomba tu kura.

Sasa inamaana wameona ndiyo njia rahisi ya kuwafikia wananchi ili wapigiwe kura za ndiyo na sio tena kupitia kwenye majukwaa na kunadi sera zao?

Soma Pia: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mbona bado sana tutayaona mengi hadi kufika uchaguzi wa mwakani 2025.

PIA SOMA
- LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

 
mwanaume halisi anakua upinzani
iwe chadema ,cuf ,act whatever
 
Back
Top Bottom