Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 May 30, 2025 #1 Baadhi ya matukio katika Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unaofanyika jijini Dodoma tarehe 29-30/05/2025. Na hao ni baadhi ya makada wazalendo wa CCM wakiendesha baiskeli wakiwa wanaingia ukumbi wa Jakaya Kikwete kushuhudia kila kitu kwenye mkutano huo Your browser is not able to display this video.
Baadhi ya matukio katika Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unaofanyika jijini Dodoma tarehe 29-30/05/2025. Na hao ni baadhi ya makada wazalendo wa CCM wakiendesha baiskeli wakiwa wanaingia ukumbi wa Jakaya Kikwete kushuhudia kila kitu kwenye mkutano huo Your browser is not able to display this video.
R Rigidity JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 763 Reaction score 1,077 May 30, 2025 #2 Wazugajitu hao. Wanamgwaya Gwaji boy
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 May 30, 2025 #3 Kutoka wapi kwenda wap? Kwa sababu hawa viazi wengi wao hawanizidi mimi kwa chochote
startergear JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 1,756 Reaction score 1,955 May 30, 2025 #4 Hypocrisy ya Hali ya juu Kwa kweli! Yaani mtaani unatamba na vieitee halafu mbele ya camera upo na baiskeli! Na wewe mtoa mada ulivyo zwazwa umeingia mkenge
Hypocrisy ya Hali ya juu Kwa kweli! Yaani mtaani unatamba na vieitee halafu mbele ya camera upo na baiskeli! Na wewe mtoa mada ulivyo zwazwa umeingia mkenge
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,797 Reaction score 15,762 May 30, 2025 #5 Nimeliona li v8 la makamu mwenyekiti aloo Mzee wasira anakula mema ya nchi haki tena
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,797 Reaction score 15,762 May 30, 2025 #6 Kwahiyo mmepaki ma prado yenu ukumbini mkaamua kutumia baiskeli hahahah