Makadirio ya chini mpaka sasa umekula wangapi?

Makadirio ya chini mpaka sasa umekula wangapi?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,226
Reaction score
1,757
Habari za asubuhi.

Tangu uanze ujana umekula au umekulwa na wangapi?

Naanza mwenyewe nimekula wasiozidi 6 mpaka sasa wewe je? Kuwa mkweli hakuna anaekujua.
 
Habari za asubuhi.

Tangu uanze ujana umekula au umekulwa na wangapi?

Naanza mwenyewe nimekula wasiozidi 6 mpaka sasa wewe je? Kuwa mkweli hakuna anaekujua.
Nguva Jike wewe ni shemale?

Unawezaje kuchakata mbususu wakati umejitambulisha kama jinsia Ke?
 
Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuna umri ukifika watu hawatotaka kujua umri wako au mambo ambayo uliwahi kuyafanya ...wao watataka waone maendeleo yako tu[emoji23][emoji23][emoji23]....na hapo ndio kuna kimbembe
Sawa maendeleo watu siku hz hawatangazi wanafanya maendeleo kimya kimya unaweza muona mzee mombo Korogwe anauza mishikaki ya mee kumbe ana mijengo yake kadhaa kapangisha Bali hataki watu wajue ana maendeleo[emoji12]
 
Back
Top Bottom