Makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba

luis diaz

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
86
Reaction score
208
Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
 
habari wana jf naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi
Unatakiwa ujue itakuwa na upana na uref kias gan, lkn ikiwa ya kawaida ya tofal 2000 ili ikamilike kabsa andaa ml 35 na usimamie mwenyewe lkn hata ml 20 unaweza jenga na kuhamia itabak mapungufu ya vigae, alumniamu jpusum bod rang ambavyo unaweza kuweka kwa awamu
 
Izo tofali ni tofauti na za msingi?
 
Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
Msingi 3m
Boma 6m
Fundi 3m
Minor costs 2m
Jumla 14m.
Chini ya hapo inawezekana&juu ya hapo pia inawezekana.
Gharama zina tofautiana
kulingana&location!
 
Nyumba hainabati wala mlango na madirisha
 
Back
Top Bottom