Natafufa mtaalamu wa hiden roofMimi Ni mzoefu wa ukadiriaji wa haya mapaa ya kisasa, ya kumwaga pande 4 na Sio hidden roof na mgongo wa tembo.
Ukadiriaji wa Hidden roof ni simpo sana maana Ni mwendo wa kumwaga paa moja[emoji4]Natafufa mtaalamu wa hiden roof
Fundi anasema atafunga mbao Alafu atakadiria mabati. Ili nisipate hasara ya kununua mabati zaidi ya inavyotakiwa.Fundi wako anasemaje. Navyojua mm,ukishajenga zile tofali za juu ya renta/ gata ndo fundi anapima ukubwa(m) ili kupata makadirio sahihi, na si kwa kuangalia ramani
Naimani ukijenga kwa kutoepuka gharama basi haitavuja. ( mfano kuweka waterproof au "kuzungushia kofia ya bati pembezoni mwa ukuta. (sijui inaitwaje kilunga ya ufundi )😀 mengine unamuachia mungu.Si wanasema zinavuja hizi?