Nyamtukila
Member
- Dec 9, 2017
- 29
- 5
Kuuliza sio ujinga, ungemjibu kistaarabu ingekuwa bora zaidi...ukiwa na watoto watatu wanasoma shule tofauti utawalipia ada kwenye shule moja au utaenda kulipa ada kwenye shule zote tatu?acha ujinga jiongeze
Kuuliza sio ujinga, ungemjibu kistaarabu ingekuwa bora zaidi...
Kwa mantiki hii inabidi kuanza biashara kabla ya kwenda TRA ili ujue halo halisi ya biashara husika.Ila kama ndo unaanza biashara watakukadiria kodi kulingana na mtaji wako uliowaambia labda nna mtaji wa 4milioni watakuuliza kwa siku utategemea kuuza shingap ukawaambia labda ntauza 15000 wanakuja sasa ktk mwaka unasiku ngap mwaka unasiku365 wao sasa kwasababu hutofanya biashara mwaka mzima kuna siku zingne utapumzika au utakua unamwa au hutokua nawateja ndo wanakisia labda utafanya biashara yaan utauza iyo 15000 kwa siku 310 ndo wanakuja kukokotoa 15000×310=4650000 wakishapata hiyo wanarud sasa ktk muongozo wao wamakadirio mwenye mauzo ya 4600000 anatakiwa alipe kodi kias gani utakiwango pale nakiwango ni 150000 kwaiyo kodi yako utakayoilipa kwa mwaka ni hiyo 150000 na utailipa kwa installment4 yaani 150000÷4=37500 kwaiyo kila installment moja utalipa 37500 napindi utakapo pitisha tarehe ya installemt kulipa utapigwa faini na installament ziko hivi unatakiwa ulipie kabla ya tarehe za mwisho kuisha installent na ziko hivi unatakiwa ulipe ya hizi nistallment 1.istallment pay before 31/3/18.second installment before 30/6/2018 third pay before 30/9/2014 and lastinstallment pay before 31/12/2018 waaasalam watongezea wadau wengne
Inakuaje Kama bado hujaanza iyo biashara na hujui utauza sh ngapi kwa siku ?Ila kama ndo unaanza biashara watakukadiria kodi kulingana na mtaji wako uliowaambia labda nna mtaji wa 4milioni watakuuliza kwa siku utategemea kuuza shingap ukawaambia labda ntauza 15000 wanakuja sasa ktk mwaka unasiku ngap mwaka unasiku365 wao sasa kwasababu hutofanya biashara mwaka mzima kuna siku zingne utapumzika au utakua unamwa au hutokua nawateja ndo wanakisia labda utafanya biashara yaan utauza iyo 15000 kwa siku 310 ndo wanakuja kukokotoa 15000×310=4650000 wakishapata hiyo wanarud sasa ktk muongozo wao wamakadirio mwenye mauzo ya 4600000 anatakiwa alipe kodi kias gani utakiwango pale nakiwango ni 150000 kwaiyo kodi yako utakayoilipa kwa mwaka ni hiyo 150000 na utailipa kwa installment4 yaani 150000÷4=37500 kwaiyo kila installment moja utalipa 37500 napindi utakapo pitisha tarehe ya installemt kulipa utapigwa faini na installament ziko hivi unatakiwa ulipie kabla ya tarehe za mwisho kuisha installent na ziko hivi unatakiwa ulipe ya hizi nistallment 1.istallment pay before 31/3/18.second installment before 30/6/2018 third pay before 30/9/2014 and lastinstallment pay before 31/12/2018 waaasalam watongezea wadau wengne
Majibu kama haya huwa yanatolewa na wafu.Mjibu mwenzio vizuri kwa ustaarabu.Unadhani kama wewe unajua ni wote wanajua? ACHA HIZO.ukiwa na watoto watatu wanasoma shule tofauti utawalipia ada kwenye shule moja au utaenda kulipa ada kwenye shule zote tatu?acha ujinga jiongeze
Asante sana mkuu, kwa mchango wako mzuri .Ila kama ndo unaanza biashara watakukadiria kodi kulingana na mtaji wako uliowaambia labda nna mtaji wa 4milioni watakuuliza kwa siku utategemea kuuza shingap ukawaambia labda ntauza 15000 wanakuja sasa ktk mwaka unasiku ngap mwaka unasiku365 wao sasa kwasababu hutofanya biashara mwaka mzima kuna siku zingne utapumzika au utakua unamwa au hutokua nawateja ndo wanakisia labda utafanya biashara yaan utauza iyo 15000 kwa siku 310 ndo wanakuja kukokotoa 15000×310=4650000 wakishapata hiyo wanarud sasa ktk muongozo wao wamakadirio mwenye mauzo ya 4600000 anatakiwa alipe kodi kias gani utakiwango pale nakiwango ni 150000 kwaiyo kodi yako utakayoilipa kwa mwaka ni hiyo 150000 na utailipa kwa installment4 yaani 150000÷4=37500 kwaiyo kila installment moja utalipa 37500 napindi utakapo pitisha tarehe ya installemt kulipa utapigwa faini na installament ziko hivi unatakiwa ulipie kabla ya tarehe za mwisho kuisha installent na ziko hivi unatakiwa ulipe ya hizi nistallment 1.istallment pay before 31/3/18.second installment before 30/6/2018 third pay before 30/9/2014 and lastinstallment pay before 31/12/2018 waaasalam watongezea wadau wengne