Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
yuko wapi na kasomea nini?Mpigie huyu mzanzibari pia ni mwana jf atakupa accurate figure maana ndo kaz yake aliyosomea
Yupo dar ila hata mikoani anakujayuko wapi na kasomea nini?
we bibie ujue unazingua ujue....Yupo dar ila hata mikoani anakuja
Mpigie umujlize
Ina maana urefu ni mita 30 na upana ni mita 10?
Nakupa makadirio ya fascia board tu, hayo mengine tutafutane PMUrefu mita 30 upana mita 10.makisio sahii ya vifaa please.boma limekamilika
boss kufanya mchanganuo wa material yanayohitajika kwenye ujenzi,kwa hatua za:Nakupa makadirio ya fascia board tu, hayo mengine tutafutane PM
CASE I: Mfumo wa mapaa manne
Urefu 10m
Upana 30m
Assume overhang ya 45cm
C= (10.45m+30.45m)×2
C= 81.8m
No = 81.8m/ 3.6m = 22.7 (approx 23pcs)
Kama utapaua mfumo wa mapaa manne, utahitaji mbao 23 za urefu wa futi 12
CASE II: Mfumo wa mgongo wa tembo (gable either sides)
Kama unapaua mfumo wa mgongo wa tembo na utatumia angle ya 45
C=(30.45×2)+ 4*sqrt((10.90/2)²+(5.45)²)
C= 91.7m
No= 91.7m/ 3.6m = 25.4 (approx 26pcs)
Kama utapaua mfumo wa mapaa manne, utahitaji mbao 26 za urefu wa futi 12 (1x8 au 1x10)
boss nasubiri jibu lako.Nakupa makadirio ya fascia board tu, hayo mengine tutafutane PM
CASE I: Mfumo wa mapaa manne
Urefu 10m
Upana 30m
Assume overhang ya 45cm
C= (10.45m+30.45m)×2
C= 81.8m
No = 81.8m/ 3.6m = 22.7 (approx 23pcs)
Kama utapaua mfumo wa mapaa manne, utahitaji mbao 23 za urefu wa futi 12
CASE II: Mfumo wa mgongo wa tembo (gable either sides)
Kama unapaua mfumo wa mgongo wa tembo na utatumia angle ya 45
C=(30.45×2)+ 4*sqrt((10.90/2)²+(5.45)²)
C= 91.7m
No= 91.7m/ 3.6m = 25.4 (approx 26pcs)
Kama utapaua mfumo wa mapaa manne, utahitaji mbao 26 za urefu wa futi 12 (1x8 au 1x10)
Sorry mkuu, App ya JF ina changamoto ya notification..gharama inategemea na ukubwa wa nyumba..tuwasiliane kupitia ebusiness.excel@gmail.comboss kufanya mchanganuo wa material yanayohitajika kwenye ujenzi,kwa hatua za:
1.Msingi
2.Boma
3.Kupaua.
4.Wiring and plumbing
5.Finishing.
Gharama yake ni kiasi gani? Ramani tayari ipo.
mie nataka kujua gharama zako kabla sijaja inbox.Sorry mkuu, App ya JF ina changamoto ya notification..gharama inategemea na ukubwa wa nyumba..tuwasiliane kupitia ebusiness.excel@gmail.com
Kama upo serious tuwasiliane, gharama ni nafuu usiogopemie nataka kujua gharama zako kabla sijaja inbox.
Hapana bro siwezi kuja inbox kama sina uhakika na deal...ntajie bei kama naona naiweza ndio nije inboxKama upo serious tuwasiliane, gaharama ni nafuu usiogope
You are not serious bro...kwani inbox kuna malipo yoyote mtu anafanya kwa kutuma tu text?Hapana bro siwezi kuja inbox kama sina uhakika na deal...ntajie bei kama naona naiweza ndio nije inbox
Weka gharama hapa mwingine anaweza kuvutiwa na Bei zako, afu mtoa mada sio mzoefu anataka uweke gharama hapa ili ukileta ukanjanja tukupopoeYou are not serious bro...kwani inbox kuna malipo yoyote mtu anafanya kwa kutuma tu text?
Labda godauniHii nyumba itakua ndefu sana humo ndani na upana mdogo