Makahaba huzinusuru ndoa zenu!

Hivi wewe Mtambuzi jamani huwa unasupervise hayo matukio yote ya wenzio wanaotembea na makahaba kuhakikisha kama wanavaa kondomu..Kama wewe unavaa heri yako, lakini stori za wenzio wanasema huwa wanakuja kujua kwamba hawakuvaa ndomu baada ya tukio..
 
we anasema longo tu.
dahhhh, ....hizi posting za siku hizi mara house girls, mara makahaba, mnazidi kutufanya wanaume tuonekane ni viumbe wadhaifu jamani...khaa?

makahaba tena? mie sie mmoja wenu!
 
Hivi wewe Mtambuzi jamani huwa unasupervise hayo matukio yote ya wenzio wanaotembea na makahaba kuhakikisha kama wanavaa kondomu..Kama wewe unavaa heri yako, lakini stori za wenzio wanasema huwa wanakuja kujua kwamba hawakuvaa ndomu baada ya tukio..

Nikibishana na wewe tutakesha hapa.......................
 
Inasikitisha sana..at times animals wako better off,wana aibu kdg,choosing the best etc..God help us., Going back,hivi unajiskiaje naye akifanya hvo?.cant you talk to him or her in a decent way?unamuudhi mtu then you demand for x,where is your humanity?.dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…