Makahaba watumia ARV'S badala ya Kondomu

Makahaba watumia ARV'S badala ya Kondomu

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,360
Reaction score
6,069
Madaktari nchini Kenya wameelezea wasiwasi kuhusu matumizi mabaya na ya kiholea ya dawa za dharura ambazo zinanuiwa kuwakinga waathiriwa wa ubakaji kutokana na maambukizi ya virusi vya HIV.
Dawa hizo zinazojulikana kama PEPS, zinapaswa kupewa mwathiriwa baada ya daktari kuthibitisha kuwa kweli yuko katika hali ya hatari ya kuambukizwa virusi vya HIV, na hutolewa tu na wataalamu wa matibabu ya HIV.
link;
Makahaba watumia ARV'S badala ya Kondomu - BBC Swahili - Medianuai
 
Back
Top Bottom