MAKAHABS

Mjukuu.Slim

Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
31
Reaction score
35
TUCHEKE KIDOGO..
BIBI NA MJUKUU

Mfalme alitaka kujua idadi ya makahaba ktk mji wake akawaambia wajipange foleni kuhesabiwa. wakapanga mara bibi kizee akapita akamuona mjukuu wake katika foleni akamuuliza kuna nini hapa? akamwambia "mfalme anagawa maembe bibi" Bibi akaunga foleni kwa uroho wa maembe. mfalme alipomfikia bibi akamuuliza hata wewe bibi? Bibi Akamjibu "mie tena ndio mtaalamu hadi kokwa nanyonya" mfalme akapoteza fahamu..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…