Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 540
Inasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana anitha...
Kumbuka kaka yako akioa anajenga familia yake.....
sina maana kuwa asisaidie kwao la hasha, ila jua msaada utapungua kwa kiasi kikubwa, na majukumu yanaongezeka.....
Usitegemee kusaidiwa kama alivyokuwa single.... Ingawa anapodai mkewe ndo ndugu yake pekee anakosea....
Na kwa bahati mbaya wanaume huwa wazito kusaidiz kwako, ila mtoto wa kike hata akiolewa lazima kwao atasaidia........
Hivyo Msichoke kumkumbusha kaka yenu kuwa msaada wake ni muhimu na bado unahitajika
jamani jamaniUkisikia Gubu la wifi ndilo hiloo.
Inasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.
co kwamba nahitaji msaada wake. Ukimthamin ndug yk na kumpenda inatosha kuliko ki2 chochote. Ukiwadharau ndug zako unadhan mkeo atawaheshim? Kila m2 ana nafas yake ktk maisha yako. Ss ukisema mkeo ndo ndugu yk peke ake how ua mom wil fil? Cha kushangaza akitingwa anaanza kuomba hela kwa wadogo zake.. Nashndwa kuelewa nimuweke ktk kund gan? Au 2ish nae vp?
Inasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.
Maisha ya Kimasikini hayo Anita, asisahau ndugu kivipi? au unaishi kwa kutegemea Kaka akusaidie katika kila jambo hata baaada ya yeye kuoa?
Labda na ninyi akina dada mkiolelewa muwe nawakumbusha wale waliowaoa wasisahau ndugu zao.. KUMBUKA: Ukimtegemea sana nduguyo mpaka wakati ambapo nae anahitaji kuijenga familia yake, unamsababishia umaskini na utakufa masikini kwani utakuwa chanzo cha kuvuruga nyumba yake. Hakuna aliyezaliwa ili kumsaidia mwenzie isipokuwa mzazi tu ambae anawajibu wa kumsaidia yule aliyemltea duniani (Mtoto) kwa ndugu akikusaidia ni mapenzi yake usimtwishe mzigo Kaka yako ukasahau nae ana familia yake ambayo akikuachia uisaidie huwezi kufanya hivyo kwani nawe utadai una majukumu mengine...
KAKA ZENU WANAOA WANAWAKE WENZENU, ACHENI GUBU!!

mlishamwita kwenye vikao vyenu mkaongea nae?
Aliwajibu pumba?
Na anapokuja kuomba msaada mnampa?
cwez nikamnyima msaada coz ni ndug yangu. Smtyms unaweza ukasema ucmpe bt he z my brother roho ya huruma inakuja automatically
wanamme wengi wakioa hawakumbuki kwao.
Jawabu huwa ni kuwatoa tu kwenye mahesabu, wanawake waliopo wanatunza wazazi na kuendeleza nyumbani.
Mkitegemea kaka zenu, siku moja mtaaibika.
proved sayantifikali.
mawifi+mama mkwe=> brain concussion!