wanamme wengi wakioa hawakumbuki kwao.
Jawabu huwa ni kuwatoa tu kwenye mahesabu, wanawake waliopo wanatunza wazazi na kuendeleza nyumbani.
Mkitegemea kaka zenu, siku moja mtaaibika.
proved sayantifikali.
mawifi+mama mkwe=> brain concussion!
wanamme wengi wakioa hawakumbuki kwao.
Jawabu huwa ni kuwatoa tu kwenye mahesabu, wanawake waliopo wanatunza wazazi na kuendeleza nyumbani.
Mkitegemea kaka zenu, siku moja mtaaibika.
proved sayantifikali.
thisi izi vere truu
Pole sana Anitha, mimi ni kaka, ninachoona hapa huyu kaka yako ana tatizo, huwezi kusema hivyo kama una akili timamu.Kinachotokea ni kuwa mara nyingi kaka akioa anakua na majukumu mengi sana kama ya kwao/kwenu, kwa mke na pia jukumu la kujenga familia yake.Kwa maisha ya kawaida huu ni mzigo mkubwa sana hivyo msaada wake kwa familia yake lazima utapungua si kama alivyokuwa single.co kwamba nahitaji msaada wake. Ukimthamin ndug yk na kumpenda inatosha kuliko ki2 chochote. Ukiwadharau ndug zako unadhan mkeo atawaheshim? Kila m2 ana nafas yake ktk maisha yako. Ss ukisema mkeo ndo ndugu yk peke ake how ua mom wil fil? Cha kushangaza akitingwa anaanza kuomba hela kwa wadogo zake.. Nashndwa kuelewa nimuweke ktk kund gan? Au 2ish nae vp?
Pole sana Anitha, mimi ni kaka, ninachoona hapa huyu kaka yako ana tatizo, huwezi kusema hivyo kama una akili timamu.Kinachotokea ni kuwa mara nyingi kaka akioa anakua na majukumu mengi sana kama ya kwao/kwenu, kwa mke na pia jukumu la kujenga familia yake.Kwa maisha ya kawaida huu ni mzigo mkubwa sana hivyo msaada wake kwa familia yake lazima utapungua si kama alivyokuwa single.
Tatizo linakuja kwa ndugu na familia yake kulielewa hili, wao hutaka iwe kama zamani kitu ambacho hakiwezekani.
Ndio lawama huanza na kuishia kama hivi.Hii nakupa hali halisi kama kaka.
Kuna msemo wakina mama huwa wanaunasema, labda una ukweli ndani yake, ukizaa mwanamkee umejiwekea hazina ukizaa wa kiume umemzalia mwanamke mwenzio
kwa kukubaliana na generalization ya kongosho inaonyeshana wewe ni mmoja wapo ua unategemea kuwa hivyo.
Kuna msemo wakina mama huwa wanaunasema, labda una ukweli ndani yake, ukizaa mwanamkee umejiwekea hazina ukizaa wa kiume umemzalia mwanamke mwenzio
Ni kweli kabisa lkn reason ni ndogo tu, wanawake wakiolewa wazuri wakuiweka familia (maana watoto na mume na yeye) karibu na kwao na kumsahulisha mwanume kwao, mwanume utajiona unapendwa na familia ya mke kumbe ni malengo mahususi.
kwa theory gani uliyotumia? Labda kwa kaka zako wa kisukuma.
thisi izi vere truu
ni kweli, mbona tunayaona haya kwenye koo zetu, majirani, marafiki na watu watuzungukao?
anitha anadhani kaka yake kabadilika hela anatumia na mkewe atakuja kushangaa hata mkewe hatumii hizo hela kihivyo, usikute kaka yake hela anamalizia kwenye stuli ndefu...... Chezea wanaume....
co kwamba nahitaji msaada wake. Ukimthamin ndug yk na kumpenda inatosha kuliko ki2 chochote. Ukiwadharau ndug zako unadhan mkeo atawaheshim? Kila m2 ana nafas yake ktk maisha yako. Ss ukisema mkeo ndo ndugu yk peke ake how ua mom wil fil? Cha kushangaza akitingwa anaanza kuomba hela kwa wadogo zake.. Nashndwa kuelewa nimuweke ktk kund gan? Au 2ish nae vp?
Inasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.
hop hujanielewa ndg yng ctegemei msaada wa pesa kwake, nipo kwangu nna maisha yang.
Mtoa mada,wapo wadada ambao pia akiolewa hana mpango na nduguze hata mama yake,,,,,,mfano huo ulitokea kwenye familia yetu,,,,,
hadi amechakachukiwa na kufilisiwa na mume ndo anakumbuka kutafuta ndugu mchana na kijinga cha moto