Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 540
- Thread starter
-
- #41
sasa una lalama nini,,,,,,,,,familia ni baba mama na watoto,,,,,,wengine ni upendo tu,,,jibika si lazimiki,,,,,,,,ukiendekeza wengine wanabweteka hawajioni wanawajibu,,,wanakutazama kama the only solution,,,,,then mnabaki mnatambaa,,hanyanyuki mtu,,,,,,maisha ni vita,,acha kakio apambane,,,,,ipo kitu anapata kwa wife ,,faraja,,,baada ya kazi weye waja na madai tuuuu,,,,kizaman hicho yapo mambo ya msingi mf ,,makazi ya familia kama hamkujaliwa kuwa nayo,,,,,then,,,kama ugonjwa ameenda sana ada tena huyo mumbariki,,,unataka awasaidie akifa mapema wanawe wawe chokoraa,,,,,gundu mia ya mia:spy:
mawifi nyie si watu wazuri hasa kama kaka yenu kasoma na ana kazi nzuri sitaki hata kukusikiliza
angalia nilichosema, 'wanamme wengi' sijasema 'wanamme wote'
lakini ukweli utabaki pale pale wanamme wakioa hawakumbuki walikotoka utadhani waliota kwenye mti.
hop hujanielewa ndg yang, sihitaj msaada wa wa pesa kwake nipo kwangu najitegemea na nna pesa zangu. Cna gubu na wif ang i respect her as my cc inlaw.
Inasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.
Fighter, na wanawake ambao hawajaolewa na wanasaidia familia zao?
makubwa! Nilijua wanaume peke yao.
kuna msemo wa cha kuazima hakistili ******, huyo kaka now anafamilia yake anatakiwa kujenga msingi mzuri kwa watoto wake japo atawasaidia mtakapokuwa na shida, nawe tafuta maisha yakoInasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.
kwa theory gani uliyotumia? Labda kwa kaka zako wa kisukuma.