Makala champion: Diamond anavyoandaa sherehe ya siku ya kifo chake

Mwenye akili hafikirii teams, ila anajali maendeleo yake na familia yake... Mond mwenyewe ana deal na msisha yake na cyo teams
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu flan hivi la ki Phd [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Huyu dogo kwa level aliokuwa nayo sasa anatakiwa aweke wazungu ndio wam manage,sio ile timu ya manzese na temeke.
 
Naona gazeti hilo la champion halina tofauti na ijumaa na lingine lipi la udaku na Nina hisi no kaka na Dada
Tofauti yao udaku wa michezo na haya mengine udaku wa kuchungulia chupi za flani zimekaaje

Wimbo alioimba na msanii a k a. Yy kashirikishwa utasemaje no wake? Ujnga wa gazeti uliopitiliza

Nyimbo zote zinatopigwa hakuna maneno ambao hayajaimbwa na wengine ujie hillo
 
Kuchamba sana utashika mavi mnachambua sana mpaka kero kwan hakuna video zingine??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…