Hapo pia UKIMWI unafanya timing tukijisahau sana ndo unalipuka kwa upya.Mkazo mkubwa wa kampeni za kuelimisha watu dhidi ya maambukizi ya ya VVU zilifanyika sana miaka ya nyuma virusi hivyo vilipokuwa bado ni vigeni,sasa hivi naona mkazo umeelekezwa kwenye COVID 19.
Kweli aisee hili nalo Tatizo.Tukipunguza Makongamano Mwenge Marathon Sherehe za Wasanii zisizo na mbele wala nyuma, Makambi ya Injili nk tutapiga hatua vinginevyo nchi itabakiwa na nguvu kazi wenye miaka kuanzia 50 na kuendelea..
Mikopo ya shule kutoka kule kwenye office ya mnato kuna uzinzi na uhalifu wa kutisha...
watoto wetu wanadhulumiwa haki za miili yao...
CCM imetufikisha hapa.Kweli aisee hili nalo Tatizo.
Ni kweli kabisa, sema kwa sasa hauonekano kwa macho kama zamani,wenye VVU walionekana kukonda na kudhoofika,sasa hivi wanatumia dawa za kifubaza nguvu za virusi hivyo,VVU bado ni janga.Hapo pia UKIMWI unafanya timing tukijisahau sana ndo unalipuka kwa upya.
Kikubwa Tahadhari maana wanasema kinga ni Bora kuliko tiba.Ni kweli kabisa, sema kwa sasa hauonekano kwa macho kama zamani,wenye VVU walionekana kukonda na kudhoofika,sasa hivi wanatumia dawa za kifubaza nguvu za virusi hivyo,VVU bado ni janga.