Makala maridhawa ya Ansbert Ngurumo

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2006
Posts
2,182
Reaction score
885
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na makala hii ya mwandishi Ansbert Ngurumo.Hebu isome kwanza kisha tujiulize pamoja maswali flani


Hivi hii kesi iliishaje (kama iliisha kweli)?Kubenea amekuwa akionekana machoni mwa Watanzania wengi kama mfichua maovu katika jamii.Na tukio linalozungumzwa katika habari hiyo hapo juu lilihusishwa na ujasiri wake huo.Vipi mbona hata yeye mwenyewe kama mhanga wa tukio hilo amekuwa kimya sana?
 
Kubenea got what he was striving for.
Sasa katulia anaendeleza kazi aliyolipwa kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…