ELIMU ni muhimu katika jamii ili kujikwamua katika umasikini na kuleta maendeleo katika taifa lolote lile, Tanzania ikiwemo. Wasomi na watu wengi Tanzania wamekuwa wakijadiri sana elimu inayotolewa ikiwemo kubadiri mtahara wa elimu kwa kudhani inaweza kuwa suruhisho kwa wimbi la vijana wanomaliza elimu na kujikuta hawana ajira kwa kiasi kikubwa, wapo wanaoamini pia Kiswahili kikitumika kufundishia basi watu wengi watakuwa na maarifa kwasababu tu ni lugha mama hivo watakuwa na uelewa mkubwa.
Kutumia Kiswahili kufundishia au kubadili mtahara wa kufundishia ni jambo jema na napongeza kwa hilo ila haitakuwa mwarobaini wa kuondoa changamoto la wimbi la vijana wengi wanaomaliza elimu na kujikuta hawana ajira, vijana wengi Tanzania wanamaarifa ila changamoto ni elimu inayotolewa darasani kwa kiasi kikubwa inafanya watu wengi kutegemea serikali siyo Tanzania tu bali duniani kwa asilimia kubwa, mfano Tanzania kuna vyuo mbalimbali vya ufundi kama VETA, SIDO n.k ambavyo mtahara ni tofauti kidogo na elimu watu wengi tulizo soma lakini bado vijana wana maliza huko pia wanajikuta hawana ajira.
NINI KIFANYIKE
Vijana wengi wanamaarifa ila changamoto kubwa ni MITAJI hawana tunaita "starting point",mfano kwenye jamii kuna taasi zimekuwa zikitoa mitaji kiasi kwa vijana ambao watajikusanya na kuomba mikopo ili waweze kufanikisha lengo la kikundi husika ambapo pia mikopo hiyo inatolewa kwa watu wachache kwani iliyopo haikidhi vijana kuwa wengi, pia vijana wengi kwa mmojomoja wamekuwa na malengo tofauti tofauti unaweza kuta mtaani mmoja injinia, mwingine mwanasheria,daktari, mwalimu n.k hawa watu wanaweza kujikusanya kukopa lakini inatokea MALENGO yao ni tofauti, Je wanaweza kukopa pamoja na kuwa na kikundi chenye malengo tofauti ? Je kijana mmoja mmoja anaweza kukopesheka bila kuwa na dhamana?, Je hiyo mikopo kwa vikundi kwa vijana inajitosheleza kupatikana Tanzania nzima? Jibu ni HAPANA.
Kwahiyo serikali kama imeweza kuwakopesha vijana mikopo ya kusomea yani kupia BODI YA MIKOPO basi hivyohivyo inavyoweza kuwakopesha mitaji vijana baada tu ya kumaliza elimu ya juu, inaweza kuwa kwa masharti ya ufauru au kwa kupeleka projekti yake vyovyote vile ila tu kuhakikisha kila kijana anaye maliza elimu anakopeshwa kwa liba nafuu baada ya kuhitimu kwani inawezekana na kurejesha mikopo kidogokidogo.
KWANINI INAWEZEKANA
Serikali nyingi duniani ikiwemo Tanzania na baadhi ya watu huwa nafikra kuwa kukiwa na pesa nyingi katika jamii basi hupelekea mfumuko wa bei na pesa kushuka thamani na watu wanaweza wasifanye kazi kwa bidii eti kisa tu kila mtu atakuwa anapesa ambacho SIKWELI mfano mwandishi Steve Forbes katika kitabu cha "Inflation" anasema inflation ni hali ya vitu kupanda bei kwa kasi na huku pesa ikishuka thamani na kupelekea watu kukosa imani na pesa yao na kuanza kutumia fedha za kigeni katika nchi yao, mfano Zimbabwe.
Kwahiyo nchi kama Tanzania hakuwezi kuwa na inflation kwani tuna tumia pesa yetu ya T. shilings na sheria ya kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni ipokutekeleza hili ,pia serikali kutoka nchi mbalimbali zimekuwa zinajitahidi kuzuia hilo kwa kuondoa pesa kwa wananchi kupitia kuongeza tozo tofauti tofauti kama kwenye miamala ya simu, luku, vifurushi, maji n.k kwa kuamini watazuia inflation na watu kufanya kazi kwa bidii, na pale inapotokea pesa kwa wananchi imepotea sana ndio serikali hupunguza tozo mfano makato wakati wakutoa pesa, kuongeza mishahara, benki kuu kuwawezesha benki mbalimbali ili ziweze kuwakopesha wananchi kwa riba n.k.
Noti ya tilioni 100 ya Zimbabwe iliyopelekea wananchi wakakosa imani na fedha yao nakuanza kutumia fedha ya kigeni US dollar nchini mwao.
Pamoja na hayo vijana wengi hii mikopo ya benki hawawezi kuipata sababu kuna vigezo mbalimbali kama dhamana mfano hati ya kiwanja, nyumba, mashamba, wadhamini wakati wa kukopa, au mpaka uwe umeajiriwa wakati wimbi kubwa la vijana hawana ajira, au tayari umejiajiri ambao pia ni wachache wenye mitaji, n.k hivo wanashindwa kutekeleza ndoto zao sababu tu hawana mikopo na kukosa dhamana, hivyo endapo serikali itawakopesha kwa wingi vijana wakawa na mitaji wata jiajiri na kuwa ajiri vijana wengine hivo pesa itakuwepo kwa wananchi na haiwezi kupelekea inflantion bali taifa litakuwa kwa kasi kwani lina wasomi wengi wenye maarifaa pia serikali itakusanya kodi kwa wingi ambao ndio msingi wa maendeleo katika taifa lolote lile duniani.
HITIMISHO
Elimu inayotolewa Tanzania ni bora sema serikali haijaweka mfumo madhubuti wa hawa vijana wa kishamaliza watawasaidiaje nje ya kuajiliwa, mfano dakatri anaweza fungua phamarcy, mwalimu akanzisha tuition centre, wanakilimo wakakodi mashamba wakalima n.k, japo kuwa kama tunahitaji kubadiri mtahara ni kwasabu tunahitaji kubali mtahara na sio kwasababu ya kutaka kutatua watu kuwa na mafanikio au vipato kwani kwa kupitia maoni hapo juu tunaweza kuwa na maendeleo hata kama tutaendelea na Mtahara tulio nao sasa, pia Kiswahili kutumika kufundishia itakuwa jambo jema kwani itatutambulisha taifa kimataifa.
MENGNATION(0744269851).

Upvote
1